Posted by Williammalecela.com on Monday, November 16, 2015
Habari kutoka Dodoma sasa hivi ni kwamba Katibu Mkuu wa CCM ametangaza rasmi kwamba Mh. Job Ndugai ndiye mteule wa CCM kuwa Spika mpya wa Bunge la Awamu ya Tano, habari kamili zinakuja live!!
0 comments:
Post a Comment