![]() |
| Rais Magufuli leo muda huu kaibukia ofisini kwa Waziri Mkuu mpya Majaliwa, bado hakijaeleweka alifuata nini huko tena ghafla hahahaha jamani saafi sana Rais tukomesheeee baba mabadiliko tumeyataka wenyewe hahahahaha, subiri kesho utasikia kama kibarua cha mtu hakikuota nyasi huko hahahahahah me I love it!! |


0 comments:
Post a Comment