Monday, November 16, 2015

Rais Magufuli muda mchache uliopita amemteua Dr. Tulia Ackson kuwa Mbunge wake wa kwanza wa kuteuliwa na Rais na pia ametengua kazi yake ya Mwanasheria Mkuu msaidizi ikiwa na maana moja tu kisiasa kwamba anamtafutia nafasi ya kuwa Naibu Spika, huku Ndugai akiwa na nafasi kuwa ya kuwa the next Spika.

0 comments:

Post a Comment