

Askari wa usalama barabarani na wasamaria wema wakisaidia kumpa msaada wa kumpakia katika Gari Kijana aliyegongwa na daladala iliyokuwa ikitoka mafinga kuja Mjini Iringa Eneo la kuingia Stendi kuu Mjini hapa

Wananchi wakishuhudia tukio hilo

DALADALA iliyosababisha ajali ikiwa imetelekezwa Stendi kuu baada ya dereva kukimbia kutokana na kumgogonga mtembea kwa miguu na kumvunja mguu wake wa kulia ,ajali hiyo imetokea Majira ya saa mbili asubuhi
0 comments:
Post a Comment