Wednesday, November 25, 2015

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam, Paul Makonda jana alikuwa amewataka Maofisa Aridhi na Mipango Miji kufika eneo la Nakasangwe Kata ya Wazo leo asubuhi

kutoa ufafanuzi wa mgogoro wa ardhi lakini wao wakafika saa 5.



Sasa kaweka mahabusu katika Kituo cha Polisi Wazo Polisi na kuairisha shughuli hiyo hadi kesho

0 comments:

Post a Comment