Friday, November 20, 2015

 
Spika wa Bunge la Tanzania Mh Job Ndugai aweamuru Wabunge ukawa Kutoka Nje ya Bunge,Hali hiyo Imetokana na Wabunge hao Kupiga
kelele Kipindi Viongozi wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Pamoja Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Wakiingia Bungeni 

0 comments:

Post a Comment