Posted by Williammalecela.com on Friday, November 06, 2015
Rais
wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli amefanya
ziara ya kushtukiza kwa kutembea toka Ikulu hadi katika wizara ya fedha
na kukagua utendaji kazi wa wafanyakazi mbali mbali ofisi kwa ofisi na
kukuta Maofisa wengi wa serikali hawapo kazini.

0 comments:
Post a Comment