Lowassa aliingia CHADEMA saa mbili kamili Asubuhi, ilipofika saa mbili na dakika tano akawa mgombea Urais wa# CHADEMA.....
,Babu
#Duni aliingia chadema saa sita na saa sita na nusu alikua mgombea
Mwenza na Wote waliingia CHADEMA Wiki Moja kabla ya Kampeni kuanza,
- Leo CHADEMA wanamuuliza Dr #Tulia Bungeni alijiunga CCM lini? haya ni maajabu ya Musa!!,
KUMBE MZEE MKAPA ANA AKILI SANA, ALISHAWAJUA SIKU NYINGI SANA!!

0 comments:
Post a Comment