Dully Sykes amesema licha ya kutembea na wanawake wengi, mpaka sasa bado hajapata mke mwema wa kumuoa.
Muimbaji huyo mwenye watoto wanne, amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio kuwa akipata mke mwema ataoa.
“Sijapata mke, unajua mke si girlfriend material na kuna wife
material,” alisema. “Sijali Mungu hajaniletea mke na ukifa bila mke si
dhambi kwa sababu hakukuletea alitaka ufe bila kuoa. Wife material
akiona watu hawezi kushangaa shangaa. Mke anajua kesho unaingia kazini
saa ngapi na utakwenda kumpokea saa ngapi. Hawa wanawake wa kwenye show
wengine hata sio ma-girlfriend material.”
DULLY SKYKES ANASEMA AJAPATA MKE WA KUOA
DULLY SKYKES ANASEMA AJAPATA MKE WA KUOA


0 comments:
Post a Comment