Faiza Ally.
Lady Gaga wa Bongo, Faiza Ally ambaye amezaa na Mbunge wa Mbeya
Mjini, Joseph Mbilinyi amefungukia ushindi wa mzazi mwenzake huyo na
kudai kuwa haumsaidii chochote.
Akizungumza juzi na Ijumaa, Faiza alisema alivyosikia ushindi wa Sugu
wala hakufurahi kwani alimchukulia kama mtu mwingine tu aliyeshinda.
“Mimi kwa kweli ushindi wa Sugu naona kama wa mtu mwingine, haunihusu
wala kunisaidia chochote mimi na mwanangu. Yeye ana maisha yake na sisi
tuna maisha yetu hivyo nikisema eti nimefurahi yeye kushinda nitakuwa
nawadanganya,” alisema Faiza.
Source;Global
0 comments:
Post a Comment