Umoja wa marafiki wa Mh Antohony Mavunde waishio Dodoma wamfanyia Suprise Mh Anthony kwa ku mwandalia party ya kumpongeza baada ya kuchaguliwa na wananchi wa Dodoma kuwa Mbunge katika Jimbo la Dodoma Mjini, Party hiyo ilifanyika katika viwanja vya Royal Village ambapo marafiki ndugu na jamaa wa karibu wa Mavunde walikuwa kunywa kwa pamoja na Mh Mbunge Anthony Mavunde...Tazama picha za yaliyojiri hapa
FRIENDS OF MAVUNDE WAKIWA MAKINI KWA TUKIO LA KUKATA KEKI
KEKI NUSU CCM NUSU CHADEMA
P
0 comments:
Post a Comment