Posted by Williammalecela.com on Sunday, November 01, 2015
Wakati Sumaye na Lowassa wakimiliki
ardhi kubwa sana inayokaribia robo ya ardhi yote ya Tanzania yenye
rutuba mwenzao (mwanamabadiliko Gwajima) yeye kawekeza kwenye mambo
mengine kabisa.
Hizi ni baadhi tu ya mali anazomiliki mwanamabadiliko mwenzako GWAJIMA.
-Ana shilingi billioni 20 ambazo zipo katika akaunti yake binafsi
-Anamiliki helkopta, hammer 1, range rover 1, nissan murano 1, land rover 4 na land cruiser v8,
-Anamiliki nyumba nne za ghorofa mbezi beach, nyumba hizo zina thamani
ya shilingi billioni 11 na millioni 400, lakini pia ana nyumba nyingine
kadhaa maeneo mbalimbali nchini tanzania ambapo nyumba hizo tathimini
yake bado haujakamilika...
-Magari zaidi ya 40 kagawa kwa
wachungaji wake sehemu mbalimbali nchini zenye thamani ya pesa kuanzia
shilingi milioni 10 mpaka 20 magari hayo ni kwa ajili ya shughuli za
uchungaji...gari zote kadi zimeandikwa jina lagwajima kama mmiliki
-ANA MABASI 20 KWA AJILI YA KUSAFIRISHIA WAUMINI WAKE
|
0 comments:
Post a Comment