Monday, November 30, 2015


"Kama kuna mtu alitarajia kwa kazi aliyofanya kwenye kampeni na kufanikisha nchi kupata kiongozi bora alipwe fadhila kwa kupewa uongozi, huyo hafai. Ni adui mkubwa kwa nchi yetu. Wametafuna nchi vya kutosha, muda wao wa kusulubika umefika. Sio lazima usemi wa uliyeokota nae kuni ndo uote naye moto unaingia kila sehemu, hii ni nchi, sio mali yenu peke yenu, ni nchi ya watanzania wote. Tumbua majipu JPM."

0 comments:

Post a Comment