Sunday, November 15, 2015

ITV inakanusha kuhusika na kutoitambua taarifa inayoonekana hapo chini na kuchapishwa ikiwa na Nembo ya ITV ambayo imekuwa ikisambazwa kupitia mitandao mbali mbali ya kijamii,ni kwamba
wawekaji wa nembo hii nimatapeli hivyo tunaomba muwe makini na watu hawa kwani tunawafuatilia ili sheria kuchukua nafasi Ahsanteni

0 comments:

Post a Comment