Mwimbaji wa Nigeria Iyanya na mwenzake Banky W wametangaza rasmi ujio wa album yao ya muziki wa Rnb.
Kabla Iyanya hajafanya Afro Pop alikuwa mwimbaji wa RnB mwaka 2008,wakati anashinda mashindano ya kusaka vipaji ya kampuni ya simu ya MTN project fame West Africa.
Iyanya alisema hivi kuhusu album yao ya pamoja ‘Watch out for me and Banky we are dropping a album”
0 comments:
Post a Comment