Monday, November 9, 2015

DCI Diwani.
JAMANI! Siku chache tu kufuatia Jeshi la Polisi Tanzania kupitia msemaji wake, Advera Bulimba kupiga marufuku maandamano na mikusanyiko ya kisiasa nchini kote kwa hofu ya kutokea kwa
uvunjifu wa amani, kijana mmoja (jina halikupatikana mara moja) anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga kwa madai ya kunaswa na mabomu 10 kinyume cha sheria. 

BOFYA HAPA KUSOMA YOTE

0 comments:

Post a Comment