Posted by Williammalecela.com on Sunday, November 29, 2015
Katika
kile kinachoonekana ni kutaka kwenda na kasi ya rais wa awamu ya tano,
Dk. John Magufuli, Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Rada kata ya
Majohe, Jimbo la Ukonga, Abdallah Goma, amewatimua ofisini wajumbe
watano wa mtaa na kuwataka waende mitaani kukusanya kero zinazowakabili
wananchi.
0 comments:
Post a Comment