Thursday, November 26, 2015

@Kikao cha Waziri Mkuu na maofisa watendaji wa Serikali jana gharama jumla Tsh. 25,000 tu ona kwenye picha Boxi moja la Azam Juice kwa Maofisa 3 na maji ya kuchanganyia!
- Ahsante Magufuli tukomeshee baba mabadiliko tumeyataka wenyewe kanyaga twende tu mpaka tonyoooke wote! - le Mutuz Nation
Maria Christian Hata hamu yakunywa hamna. Wakulima wa korosho wakati wenu
Like · Reply · 1 · 2 hrs
Hawa Malumbo
Hawa Malumbo hahhaha kweli full mnyoosho hahaha
Maria B Malongo
Maria B Malongo Hapo kazi tuuuuuu
Like · Reply · 1 hr
Honey Ahmed
Honey Ahmed Sawa sawa hapo ni kazi tu
Theo's Stanley
Theo's Stanley Saaaafiiiiii
Mc Chotara
Mc Chotara Yele uuwiiiiii
David John Fumba
David John Fumba Safi sana JPM! Na poleni sana ndugu zetu! ila sidhani kama mlisha jiandaa na matokeo haya!

0 comments:

Post a Comment