Tuesday, November 10, 2015

@LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK:- Morning Guys jana niliwataka Ikulu kufanya mambo ya Mabadiliko ya Dr. Magufuli kwa Takwimu na Facts kwa sababu Wasomi na LE AKILI KUBWAZZ kama mimi we live on FACTS sio maneno maneno ya Yanga na Simba..now kuna AKILI NDOGO ambao hamkunielewa mkajaribu sana kubadilisha maneno yangu yawe kama vichwa vyenu AKILI NDOGO lakini uzuri wa Shule ni mmoja wenye Shule wote walinielewa na matokeo yakawa...jana Rais Magufuli alikwenda Hospitali ya Muhimbili akakuta Wananchi wanateswa kwa kushindwa kupimwa
kwa sababu Machine za kuwapimia ni mbovu gharama za kutengeneza Machine ni Tsh. MILLIONI TATU tu, Rais akaamua kuvunja Bodi na Kumsimamisha kazi mara moja Mkurugenzi kwa sababu kikao kimoja tu cha Siku Mbili cha Bodi kinatumia Tsh. Millioni 5 sasa iweje washindwe kutengeneza machine za T-scan na X-ray kwa just Tsh. Millioni Tatu tu? It does not make any sense so kufukuzwa kwao ni JUSTIFIED 

...now that is all I was asking for FACTS & TAKWIMU now hii habari ukiipeleka Dunia nzima hakuna maswali baang hata ningekuwa mimi au ungekuwa wewe ungewafukuza kazi ni wajinga wazembe na simply put ni gademu MBURULAZZZZZ....I am happy to have fought so hard for this new President he is doing the right thing ingawa tatizo sasa ni sisi Wabongo na our mindset tunatakiwa kubadilika the way we think mtumzima mpaka uje ukumbushwe na Magufuli kwamba unatakiwa kufanya kazi Masaa 8 unayolipwa kwa kila siku ndio maana niliwahi kusema Tanzania tunahitaji kuanza kulipana kwa Saa kama Mbelezzz ndio watu watashika adabu maana unalipwa kuanzia saa uliyo gonga kadi yako au uliyosaini ulipoingia job breaktime unagonga tena mpaka break iishe muda wa break hulipwi mazafantazzz ..

..kwa hiyo kwa wale ambao hamkunielewa jana relax sio rahisi kuelewa AKILI KUBWAZZZZ mimi nafikiri Mile 20 mbele ya AKILI NDOGO ila Akili Kubwazzz huko Ikulu walinielewa TAKWIMU na FACTS tuachane na Mob Justice tufanye mambo KISAYANSI U know....namtakia kila.na heri Dr. Magufuli atukomesheee mburulazzzz yaani Watuwazima wenye akili timamu wanahitaji kukumbushwa wajibu wao wenyewe Only in Tanzania! MUNGU IBARIKI TANZANIA! - le Mutuz Nation

0 comments:

Post a Comment