Friday, November 6, 2015

Asubuhi ya leo Mmoja wa Wafanyakazi wa Blogu ya Wananchi aliweka taarifa iliyomuhusu Mbunge wa Chalinze Mh Ridhiwani Kikwete.Katika Taarifa Hiyo Mwenzetu alinukuu taarifa Kutoka mmoja ya Akaunti ya Mtandao wa Kijamii wa Mbunge huyo Kwa Makosa.Taarifa sahihi ni kwamba Akaunti iliyokuwa na taarifa tulioirusha si Akaunti ya Mh Ridhiwani Kikwete,Hivyo Tuaomba Radhi Mbunge wa Chalinze Mh Ridhiwani Kikwete, Wasomaji wetu Pamoja na Watu wote Waliokwazika  na usumbufu huo.

0 comments:

Post a Comment