Kylie Jenner alitokelezea kwa red carpet za American Music Awards na dada yake Kendall baada ya tarifa kuwa yeye na Boyfriend Tyga wame break up but wakati wa after party walikuwa pamoja may be walizingua tu attention iwe kwao blah blah maana maceleb nao
She wore a leather cut out dress ambayo iko embellished na silver chains ,her hair ali styliwa with a pony tail kwa nyuma and rocked metallic sandals
the sandals are from the designer Tara Melon ,na zinaitwa FRONTLINE TRIPLE SRTAP PATENT SANDALS $595
The post KYLIE JENNER IN A REVEALING OUTFIT appeared first on 8020Fashions Blog.
0 comments:
Post a Comment