Maajabu na kali ya mwaka njemba moja nchini India mwenye umri wa miaka 36 ameoa binti mwenye umri wa mwanae miaka 6.Hii ni ukiukwaji wa haki za watoto kwa
kumnyima haki ya msingi ya kusoma na kucheza na watoto wenzie.Ingawa nchi masikini kama India naza Africa ni matendo ya kawaida kutokea.
0 comments:
Post a Comment