John Telewa ni kijana kutoka nchi ya Kenya mwenye plan la kukiss mademu
zaidi ya milioni, kwa hivi sasa jamaa ameshawa kiss mademu 4,500 kwa
hiyo bado ana safari ya kuwa-kiss mademu 995,500 na katika moja ya
interviews zake Telewa alisema;
“I’m trying to do this so as to show a good example to other young
people, by spinning it to a positive thing. This will put Kenya on the
world map. At an early age I knew that I wanted to make a mark. I just
did not know that it would be by kissing women. But it totally is.”




0 comments:
Post a Comment