| Rais Magufuli Wiki Tatu zilizopita alipokwenda kutembelea Hospitali ya Muhimbili alikuta wagonjwa wapo chini kwenye sakafu. |
![]() |
| Wagonjwa wakiwa wamelala sakafuni kabla ya Rais Magufuli kutembelea Hospitali hiyo ya Muhimbili Wiki tatu zilizopita. |
![]() |
| Hii ndio Muhimbili mpya baada ya Magufuli kutoa vitanda na kuagiza mabadiliko haraka sana, kumbe inawezekana. |


0 comments:
Post a Comment