Mwanadada alikuwa muigizaji mjini califonia anajulikana kwa jina la Rachel yapata sasa miaka 37 ila ametokewa na hali ambayo imemfanya kubadilika muonekano wake wote na kufanya kila aliyekuwa anamjua kushusha chozi na kuumia kwa hali aliyo kuwa nayo lakini licha ya kuwa hivyo lakini bado
mpenzi wake ajamtenga na bado anaendelea kuwa naye kwa kila hali walimwengu wanasema hujafa huja umbika hakika nndo kilicho mkuta dada Rachel mungu amsaidie maana anasema mateso anayo yapata nimakubwa sana.

0 comments:
Post a Comment