| Faida za Muziki wa Rais mpya Magufuli zimeanza kuonekana rasmi baada ya PSPF kupokelewa zawadi na Balozi wetu aliyeko Geneva, Balozi Mero alipokea zawadi hiyo kwa niaba ya PSPF ambapo ingekuwa zamani kungekuwa na ujumbe wa Maofisa wengi kwenda kupokea zawadi hiyo. |
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment