Ndoa yao itarudi baada ya kuisha kwa kesi ya madai ya talaka? Emmanuel amesema inahitaji muda wa kukaa na kutafakari kabla ya kuamua chochote kwa sasa…
Emmanuel na Frola Mbasha enzi hizo kabla hawajatengana.
Emmanuel Mbasha amesema japo walikuwa kwenye kambi mbili tofauti kwenye Kampeni haimaanishi kwamba kulikuwa na tofauti yoyote iliyofanya wasirudiane… Emmanuel alionekana na Dokii kwenye Kampeni lakini anasema kila mmoja ana maisha yake, hakuna chochote kilichoendelea kati yao.
0 comments:
Post a Comment