Posted by Williammalecela.com on Wednesday, November 25, 2015
 |
Mkuu
Mpya wa mkoa Kilimanjaro Mh. Amos Makalla, leo ametembelea kituo cha kufua Umeme nyumba ya Mungu na
ujenzi mradi mkubwa wa Maji same-Mwanga-Korogwe. Ameagiza Tanesco
kuhakikisha wanaendelea kuzalisha Umeme kwa kiwango wslichopangiwa na
kuingiza gridi ya taifa. Amewataka wananchi kutofanya shughuli za uvuvi
eneo la hifadhi la Tanesco. Kuhusu mradi wa Maji utakaonufaisha Vijiji
38 wilaya ya Mwanga 17, same 16 na korogwe 5 ukamilike ndani ya miezi 31
kama ulivyokubaliwa katika mkataba. |
0 comments:
Post a Comment