Mkuu wa mkoa wa kilimanjaro afanya ziara ya Kustukiza masoko 4 manispaa ya Moshi, soko la kwasadala na hospitali ya wilaya ya Hai kujionea hali ya usafi na kutoa maagizo yafuatayo
Ametoa siku 3 lundo la takataka katika soko la kwasadala liwe lineondoshwa .Masoko yote ya manispaa ya Moshi yawe safi muda wote,Ameagiza magari ya usafi yazoe Taka zote kwa wakati, Uongozi wa masoko na wanasoko kuhakikisha wanathamini usafi. Ameutaka uongozi wa hospitali ya Hai unakamilisha ukarabati wa vyoo haraka


0 comments:
Post a Comment