Mdau ny city.Maoni yangu pengine hainihusu lakini yananiuma yaani mwanamke hawezi kusifiwa kuwa mzuri hadi awe light skin? Huko nyumbani ni watu mnaochepukia sana rangi nyeupe while we are black we should be proud and glorify our black beauties.
Mdau ny city.
ReplyDeleteMaoni yangu pengine hainihusu lakini yananiuma yaani mwanamke hawezi kusifiwa kuwa mzuri hadi awe light skin?
Huko nyumbani ni watu mnaochepukia sana rangi nyeupe while we are black we should be proud and glorify our black beauties.