Saturday, November 14, 2015

Mwigizaji wa sinema wa Ghana, Joselyn Dumas.
JOSELYN DUMAS mwigizaji wa sinema wa Ghana (Ghollywood), amejikuta amenasa katika penzi la mwanamuziki maarufu wa Nigeria, Wizkid, ambapo waliitumia wikiendi iliyopita wakila bata katika hoteli ya Transcorp Hilton Abuja wakati wa tamasha la Usiku wa Wasanii (Acoustic Night).

Joselyn Dumas akiwa na WizKid.
Katika tamasha hilo, Joselyn alikutana pia na mwanamuziki Darey Art Alade ambaye walikaa naye meza moja.

Katika kuthibitisha hilo kwamba alikuwa na nyota huyo wa…

Mwigizaji wa sinema wa Ghana, Joselyn Dumas.
JOSELYN DUMAS mwigizaji wa sinema wa Ghana (Ghollywood), amejikuta amenasa katika penzi la mwanamuziki maarufu wa Nigeria, Wizkid, ambapo waliitumia wikiendi iliyopita wakila bata katika hoteli ya Transcorp Hilton Abuja wakati wa tamasha la Usiku wa Wasanii (Acoustic Night).
Joselyn Dumas akiwa na WizKid.
Katika tamasha hilo, Joselyn alikutana pia na mwanamuziki Darey Art Alade ambaye walikaa naye meza moja.

Katika kuthibitisha hilo kwamba alikuwa na nyota huyo wa wimbo wa Ojuelegba, Joselyn aliweka picha yake na ya Wizkid kwenye mtandao wa Instagram na kuandika:

“Mungu anapokupa zawadi ni wajibu wako kuitumia kuwabariki na kuwatia moyo watu wengine.”

0 comments:

Post a Comment