“Kuna politics nyingi sana nyuma ya huu muziki, siasa ambazo kwa namna moja au nyingine zinawademoralize wasanii,” alisema Q-Chief kupitia Planet Bongo ya East Africa Radio. “kwa sababu watu wana talent zao, watu wana vision zao lakini wamewekewa limitation ya vile vitu wanakusudia kuvifanya, kwa hiyo we ukiona wanaweka bariers nyingi you should find means ya ku over come hiyo situation na kuweza kufika pale ambapo unakusudia.” alisema Chilla
Muimbaji huyo wa ‘For You’ aliongeza kuwa kwa sasa hategemei kufanya muziki wa nyumbani tu,
“Mi sitegemei kuimba Manzese sijui Buguruni, i want to go kwenye competition ya watu wengi ambao wanajua muziki, kwa sababu wananijenga, lakini unacompete na watu ambao hawajui alafu yeye ndio namba moja, inauma sana” alimaliza Q Chief.
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
0 comments:
Post a Comment