Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi,John Mngodo,akizungumza na wajumbe wa mkutano wa Baraza la
wafanyakazi wa Idara ya Jeshi la Polisi(hawapo pichani),wakati
alipoalikwa kufunga mkutano huo uliofanyika Chuo cha Taaluma ya
Polisi,Kilwa Road,jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu wa Baraza la Wafanyakazi,Stanford
Busumbiro(kulia) akimpongeza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi,John Mngodo, muda mfupi baada ya kumaliza kufunga mkutano
wa Baraza la Wafanyakazi wa Idara ya Jeshi la Polisi uliofanyika katika
Chuo cha Taaluma ya Polisi,Kilwa Road,jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Polisi,DCP Ally
Lugendo,akizungumza wakati wa kufunga mkutano wa Baraza la Wafanyakazi
wa Idara ya Jeshi la Polisi uliofanyika Chuo Cha Taaluma ya Polisi,Kilwa
Road, jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi ,John Mngodo(katikati),akiwasili Chuo cha Taaluma ya Polisi
kilichopo Kilwa Road, jijini Dar es salaam kufunga mkutano wa Baraza la
Wafanyakazi la Idara ya Jeshi la Polisi.wengine waliongozana na Naibu ni
viongozi wa Baraza hilo.
0 comments:
Post a Comment