Monday, November 30, 2015

Waliopitisha makontena kinyemela wahaha kumuona Magufuli Kampuni ya Bakhressa yakana kuhusika, watuhumiwa zaidi wanaswa Polisi.
 Wakati Serikali ikikunjua makucha yake dhidi ya wote waliohusika katika kashfa ya kupitisha
makontena 349 kwenye Bandari ya Dar es Salaam bila ya kuyalipia kodi, imefahamika kuwa idadi hiyo ya makontena ni sehemu ndogo tu ya mamia ya mizigo yanayovushwa kinyemela kila uchao na kuikosesha serikali mabilioni ya fedha.  

0 comments:

Post a Comment