#AFYAYAKO Oga katika mafuta? Watu wa Azerbaijan wanatibu magonjwa namna hii!
Mafuta yanayopatikana mjini Naftalan, Azerbaijan ni ya kipekee duniani. Mafuta hayo hayawezi kuwaka, wala hayana thamani ya kibiashara, lakini yana uwezo mwingine wa kutibu magonjwa ya baridi yabisi, kuponesha mzio na uchovu wa musuli.
Kila mwaka watu zaidi ya elfu kumi wanakwenda Naftalan kuoga katika mafuta. Je, wewe unataka kujaribu kuoga katika mafuta?

0 comments:
Post a Comment