Tunazihesabu siku chache tu toka mastaa wawili waliojivisha vyeo vya Ufalme, Alikibaa.k.a ‘King Kiba‘ na Christian Bella a.k.a ‘King of the Best Melodies‘ waachie ngoma ya ‘Nagharamia.
Alikiba pamoja na Gavana wa Machakos Kenya, Dk. Alfred Mutua aliyesimama katikati kwenye picha ya pamoja.
November 15 2015 ilikuwa burudani ya kutosha ndani ya Nairobi, Kenya.. watu wa nguvu walipata nafasi ya kumshuhudia Alikiba kwenye stage ya Tamasha lililopewa jina la ‘Koroga Festival‘… unatamani kuona mzigo wa King Kiba ulikuwaje kwenye stage pamoja na Team yake nzima walivyoangusha live perfomance?!
Cheki pichaz mwanzo mwisho.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo?
0 comments:
Post a Comment