Thursday, November 12, 2015

Rnb super staa Ben Pol ametimiza ahadiyake ya kwenda Africa Kusini kufanya video ya nyimbo mbili kama alivyo sema awali.
ben 1
Staa huyu pia amekutana na msanii wa dance hall kutoka Nigeria Patoranking na Ben Pol anasema “Alikutana na Patoranking juu kwa juu tu na hawakupata muda wa kuongea mengi ila walibadilishana mawasiliano ”

Ben alikutana na Patoranking kwenye show yake ya My Woman mjini Johannesburg Africa Kusini.
Ukiacha Ben Pol,Mwana Fa pia naye yupo Africa Kusini akifanya video ambayo hatujui ni wimbo gani na ni muongozaji gani.
 ben 2ben 3 ben 4 ben 5 ben 6 ben 7
mwana fa 1 mwana fa 2

0 comments:

Post a Comment