Kama wewe ni shabiki wa hitmaker wa single ya Mfalme,Hamis Mwinjuma a.k.a Mwana FA basi tutarajie ujio wa single mpya iitwayo Asanteni kwa kuja iliyotayarishwa chini ya producer Hermy B & Pancho Latino kutoka B Hitz Music Group.
Hivi ndivyo cover la single hiyo mpya ilivyo..
0 comments:
Post a Comment