Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ameipongeza Tanzania kwa namna ilivyoonesha ukomavu katika demokrasia baada ya uchaguzi.
Kenya alikuwa mmoja wa viongozi wa Afrika waliohudhuria kuapishwa kwa Rais wa awamu ya tano wa Tanzania, Dokta John Magufuli.
I
joined other Heads of State and Government for a state luncheon at
State House gardens in Dar es Salaam following a colourful swearing-in
ceremony of Dr. John Pombe Magufuli as the fifth President of Tanzania. I
commended the people of Tanzania for the manner in which the country
has distinguished herself over the years as a leading beacon of
democracy in Africa.
The
election of Dr. Magufuli is a re-confirmation of the desire for
continuity with the policies of the ruling party which is credited with
the national cohesion and development that the country has enjoyed since
independence. I assured President Magufuli of my full support and
desire to forge even closer bonds of friendship, entrenching further our
integration agenda and indeed, uplifting the welfare of our people.
Tafsiri:
Niliungana
na Viongozi Wakuu wengine wa ki-Serikali kwenye bustani za Ikulu jijini
Dar es Salaam baada ya kuapishwa kwa Rais Dk John Magufuli ambaye
anakuwa kiongozi wa tano kushika wadhifa huo nchini Tanzania.
Ninawapongeza
watu wa Tanzania kwa namna ambavyo wamejidhihirisha kwa miaka mingi
kuwa vinara wa demokrasia barani Afrika. Kuchaguliwa kwa Dk Magufuli ni
uthibitisho wa shauku ya kuendeleza sera za chama kinachotawala ambacho
kinasifiwa kusimamia umoja wa kitaifa na maendeleo tangu uhuru.
Nilimhakikishia
Rais Magufuli kuwa nitamuunga mkono na nina nia ya kuendeleza ukaribu
wetu wa kirafiki na kuhimiza mshikamano wetu wa kuendeleza ajenda ya
ushirikiano wa karibu kwa malengo ya kuinua ustawi wa watu wetu.

0 comments:
Post a Comment