Friday, November 6, 2015


Baraza la Masenator Nchini Rwanda wamekaa na kujadili sheria iliyopitishwa na Wabunge ili kumfanya Paul Kagame aendelee kuongoza mpaka 2034, Baada ya kupitia vipengele hivyo Wananchi watapiga kura ya maoni. Hata hivyo Badhi ya Viongozi wa Upinzani wameonya kuhusu hizo sheria
Chanzo: ITV- 

0 comments:

Post a Comment