Ndege hiyo aina ya A380 ina madaraja mawili tu biashara na uchumi
Shirika la ndege la Emirates limezindua ndege aina ya Airbus A380,
likiwa na madaraja mawili- la biashara na uchumi, hakuna daraja la
kwanza.
Ndege hiyo la kifahari imeongezwa siti 130.
Haina daraja la kwanza, ndege imeongezwa siti 130
Daraja la biashara hilo
Ndege hiyo ikiwa Dubai
Daraja la biashara
Viti hivyo vina vitanda
Sehemu ya vinywaji kwa abiria wa daraja la biashara
Abiria wakijaribi kuagiza vinywaji kwenye ndege
Ndege hiyo A380 ikipaa kutoka Uwanja wa Hamburg, Ujerumani
0 comments:
Post a Comment