Friday, November 13, 2015


Kitimtim ni wimbo wa kuchezeka wenye mahadhi ya mduara uliochagizwa na vionjo vya ragga/dancehall kutoka kwa rapper na mwimbaji wa dancehall @bayothegreat.

Unaweza kudownload Kitimtim hapa Chini:

Hii ni ngoma ya pili ya Bayo kwa mwaka huu wa 2015. Ngoma kabla ya hii inaitwa "Nielewe" yenye mahadhi ya sweet reggae. Unaweza kutizama nielewe hapa:


Wimbo wa kwanza kutoa Bayo kama solo artist unaitwa Jina Kapuni akiwashirikisha Watu Pori pamoja na Hussein Machozi. Bayo kwa sasa ni mfanyakazi wa shirika la VSO visiwani Zanzibar.

0 comments:

Post a Comment