Kumekuwa na stori mitandaoni na kwenye vyombo vya habari kuhusu ishu ya msanii wa Bongo Movie, Steve Nyerere kulishwa chakula chenye sumu !!
Hii hapa sehemu ya Interview ambayo #AyoTV ilifika nyumbani kwake, Kinondoni Dar es Salaam na kasimulia kila kitu ilivyokuwa akala chakula chenye sumu, matibabu, anachokiamini na kinachoendelea kwa sasa.
0 comments:
Post a Comment