This time around nilienda kwenye audition ya swahili fashion
week ambapo nilikutana na vijana wengi wanaojua kutupia..and here are
some ambao nlifanikiwa kuwapiga picha..maana wengine ilikuwa as soon as
wakiambiwa no wanabeba walichonacho na kuondoka
..
This guy looks very cool..nmependa dreadlocs zake and jinsi
alivyoweka hiyo rangi on that front part..it gives him a unique
look..amevaa simple white tshirt and black jeans pamoja na maroon
sneakers.This one is wearing a red tshirts matching it with his red shoes huko chini and a pair of black trousers.
Huyu amevaa tshirt yenye zebra print na jeans ..na kwenye miguu katupia nikeys.
This girl wore a beautiful maxi shirt ..i love the colors and the pattern
This guy right here looked so stylish that i just couldn’t miss his picture..he wore a long sleeved white tshirt and black trouser..and i love alivyomatch his boots na his bag
@FLAVIANAMAKUNGWA Huyu amevaa orange shorts and a white croptop na chini amevaa black ankle heel boots..a perfect look for an audition.
These are some niliowapata and as you can see wanajua kupose..you can not call yourself a model kama hujui kupose right
0 comments:
Post a Comment