Na Imelda Mtema
STAA mkali wa filamu ambaye hivi karibuni alipumzika kwa muda sanaa hiyo, Jacqueline Wolper, amesema baada ya kufanya mambo mengi maovu, huu ni wakati wa kumrudia Mungu, hata kwa kusoma vitabu vyake vitakatifu.

Akizungumza
na gazeti hili juzikati, Wolper alisema mara nyingi mastaa hujisahau
kwa kuendekeza anasa nyingi za duniani na kumkosea Mungu, hivyo ni bora
kuamua hata kwa saa mbili kwa siku kusoma neno lake.
“Kwa
kweli mara nyingi sisi tumejisahau sana kujipendekeza kwa Mungu, badala
yake rafiki yetu ni kufanya mambo maovu, kitu ambacho siyo sawa kabisa
ndiyo maana hata mimi sasa nimebadilisha kidogo mfumo wa maisha yangu,”
alisema.
0 comments:
Post a Comment