Wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Houari Boumediene mjini Algiers tayari kwa safari ya kurejea nyumbani kupitia Istanbul, Uturuki baada ya mchezo wao wa jana dhidi ya wenyeji, Algeria walioshinda 7-0 na kufuzu hatua ya mwisho ya mchujo wa Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi.
Tagged with: HABARI PICHA



Watalii katika ubora wao, hebu angalia walivyo-relax, kama wameshinda vile!!! Amakweli LAKUVUNDA HALINA UBANI......welcome home
ReplyDeleteulitaka wafanyeje ss walie?
ReplyDelete