Tamko la UKAWA kususia hotuba ya Rais JPM atakapolifungua Bunge
halina mashiko ya kisheria maana Rais wa Zanzibar si sehemu ya bunge la
JMT na akija anakuwa sehemu ya waalikwa.
UKAWA wangekuwa wakweli wangesusia kuapishwa na kutochukua posho na mikopo waliopewa juzi.
Tundu na wenzake wanajua kisheria matokeo hayo hayana uhusiano wowote na shughuli za bunge. Wanataka kujustfy ULOFA(In Mkapa Voice) wao na kuwahadaa watanzania. Nawashauri hiyo kesho wabaki mahotelini waangalie kwenye TV kama watanzania wengine tutakavyoshiriki hotuba hiyo kupitia Luninga. Najua kesho watafika bungeni ili kuchukua posho na watatoka kuwahi kwenye TV na baada ya hotuba wataongea na waandishi kuponda baadhi ya mikakati ya Rais JPM .
Kitendo cha kutoa comments kuhusu hotuba hiyo ni kushiriki indirect.
Maalim Seif hata yeye bado anatumia nyenzo za
Serikali kama Makamu wa Kwanza wa Rais.
Hawa viongozi wa UKAWA wamwambie kwanza
Maalim Seif aache kutumia ofisi, nyumba, walinzi na
magari ya Makamu wa Kwanza wa Rais kama
hakuna serikali Zanzibar au muda wa serikali
umeisha.
Kudai hawamtambui Rais wa Zanzibar wakati
Maalim Seif bado ni Makamu wa Kwanza wa Rais ni
unafiki at its best.
Mbaya zaidi kina Mbowe na Mbatia wanaicheza
ngoma ya Zanzibar wakati hawafahamu hata
mpigaji wa ngoma!
Matatizo ya Zanzibar yanatatuliwa Kizanzibari.
Wazanzibari wanajuana kwa viremba...
Viongozi wa Ukawa wana furahisha sana kama siyo
kusikitisha!
Katiba ya mwaka 1984 zanzibar Ibara ya 28(1)[a] inaelezea kwmb mtu ataendelea kuwa Rais mpak Rais anaefuata ale kiapo cha kuwa Rais....
Sasa kwani mpaka sasa kuna Rais anaemfuatia Shein???
UKAWA ACHENI UTOTO!!

0 comments:
Post a Comment