Posted by Williammalecela.com on Thursday, November 12, 2015
 |
| @LE MUTUZ NATION LIVE STRAIGHT TALK:- Kampeni za uchaguzi wa Rais na Wabunge Tanzania sasa zimeisha tena kwa amani, Binafsi I was very much involved in this Super Fight infact it was the fight of my life kwa sababu the Enemy was smart and very determined to win. Vilikuwa ni Vita vya kuwashawishi Wananchi Millioni 14 wanaoshiriki kwenye Mitandao ya Kijamii Tanzania na ambao takwimu za kisayansi zinaonyesha wote walikuwa involved wakifuatilia sana na kwa karibu Kampeni nzima za Uchaguzi mwaka huu. I am a CCM 100% na nilitumia all my Social Media Outlets reaching 500,000 People kila siku na in the process I lost some Revenues kwa sababu ya kuwakosa wasioipenda CCM, kuna waliokuwa wananitumia matusi mazito sana kutokana na kupinga msimamo wangu wa kuipigania CCM na hasa Rais Magufuli. NINAOMBA KUCHUKUA NAFASI HII ADIMU SANA KUWAOMBA RADHI WALE WOTE NILIOWAKWAZA KWA NJIA MOJA AU NYINGINE KATIKA KUKIPIGANIA CHAMA CHANGU CCM, I TAKE FULL RESPONSIBILITY FOR MY WORDS NA THE BUCK STOPS HERE AT ME. Now Uchaguzi umekwisha na ni muhimu wote tukarudi kwenye maisha yetu kama zamani, binafsi I am overjoyed kuona nilikuwa ninampigania Rais ambaye tayari matokeo yameashaanza kuonekana kwamba tunaelekea kwenye MABADILIKO. Well, I am no fool kuamini kwamba Magufuli atatabadilisha Wabongo in 10 years za urais wake, lakini at least atatufikisha mahali ambapo uchaguzi mwingine unapokuja tutakuwa na enough brain ya kumchagua Rais wa kutusaidia badala ya mradi Rais. I mean imagine mpaka leo Mwaka 2015 Rais wa Jamhuri imebidi aanze kuhangaika kuwakumbusha wafanyakazi wa Serikali watu wazima na wenye akili timamu kwamba ni muhimu kufika kazini ontime na ukifika kazini kufanya kazi masaa 8 unayolipwa, Imagine Hospitali ya Taifa inayoongozwa na watu wenye PhD imebidi aje Rais wa Jamhuri kuja kuwakumbusha kutengeneza machine ya MRI kwa ajili ya wananchi I mean machine hiyo imeharibika almost Mwaka mzima Daktari Kiongozi wa Hospitali ya Taifa hajisikii huzuni hata kidogo kwenda kazini na kurudi nyumbani kwamba Machine muhimu kama MRI haifanyi kazi, lakini Daktari huyo huyo yupo busy kila siku kutoa vibali vya Wagonjwa kwenda kutibiwa nje. Shame on all of us kwa kurhusu upuuuzi kama huu kuwepo na ukifanyika mbele ya macho yetu like it is nothing, Magufuli atakwenda sehemu ngapi kurekebisha upuuzi kama huu? Safari za nje bila sababu marufuku tumesikia mpaka Waziri zamani wa Mambo ya Nje aliyekuwa akisafiri sana na yeye akisema kwamba ni kweli safari zilizidi mno, "Viongozi tulikuwa tunagongana angani kama Tanzania kuna moto" hahahaha for sure it is funny. Well, kwa sababu nimeenda Shule niliamua kwamba all my works kipindi chote cha kampeni ni muhimu nikatengenezea kitabu changu maalum, ni kitabu chenye kurasa 360 ya mapambano ya kutafuta kura kwenye Social Media au Mitandao ya kajamii tayari nimewakbidhi Viongozi wote Wakuu wa Taifa. Ninakiuza kwa Tsh. 400,000 na ukikitaka call +255 717 618 997 great book of how to win votes and people's support from the Social Media during the Presidential Campaigns. Kwa wale wote mlioenda Shule mnajua kwamba hakuna furaha kwa mtu aliyeenda Shule kama kufikia kuandika Kitabu. Again thank U people, Uchaguzi umeisha now twende mbele na Tanzania kwanza. MUNGU AIBARIKI TANZANIA!! - Le Mutuz Nation |
 |
| My 360 Pages Book. |
 |
| Siku nilipompa Makamu Wa Rais Mama Samia Suluhu my Super Book live at her home Mikochen. |
0 comments:
Post a Comment