Posted by Williammalecela.com on Monday, November 30, 2015
 |
@LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK!!:- Hatimaye some of us Tuliompigania sana Magufuli kuwa Rais tumeanza kuona tulichokipigania yaani MABADILIKO, honestly hata mimi sikutegemea kwamba Magufuli atakuwa this bold na wala sio iri kwamba kuna ambao hawako happy na anachokifanya. Anajaribu kuwatoa watu wachache kwenye their Comfort Zone na kuwapeleka kwenye ROUGH ZONE ili WENGI waweze kuwemo kwenye Comfort Zone!! - Najua it is a rough ride na very uncomfortable kwa waliozoea kuishi kwa ujanja ujanja na pia najua kwamba Magufuli is not perfect, lakini cha muhimu ni kuangalia nia na madhumuni yake tu hafanyi anayoyafanya kwa sababu anataka kuiba yeye na marafiki zake au ndugu zake, anapigania wote tumpe support hasa Wananchi!! MUNGU AIBARIKI TANZANIA!! - le Mutuz Nation |
0 comments:
Post a Comment