MAGUFULI MGENI RASMI STARS NA ALGERIA, KIKWETE NAYE NDANI. Rais john
pombe magufuli anatazamiwa kuwa mgeni rasmi ktk mchezo wa kuwania
kuingia kwenye hatua ya makundi kombe la dunia kati ya taifa stars na
algeria uwanja wa taifa dsm. Mchezo huo utakaopigwa jumamosi utakuwa wa
kwanza kwa mhe magufuli tangia achaguliwe kuwa rais wa tanzania, naye
rais mstaafu wa awamu ya nne jakaya mrisho kikwete ataudhuria mchezo huo
kama mtazamaji wa kawaida. Stars itakuwa na shughuri pevu kwani algeria
maarufu mbweha wa jangwani ipo juu kwa ubora wa viwango afrika
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment